Staff Mail

CATHOLIC DIOCESE OF ISIOLO COMMUNICATION DEPARTMENT

OBI MIKEL AGURA KILABU YAKE ILI KUJIKINGA NA VIRUSI VYA KORONA

Mchezaji Nigeria john obi mikel ameweza kugura kilabu yake Trabzonspo ya uturuki kama njia moja ya kujikinga kutokana na homa hatari ya corona. Mkel na mwenye umri wa miaka 31amesema hakufurahishwa na uwazi wa viongozi uturuki kuamuru mechi hizo kuendelea …………………………………………………………. Shrikisho la soka jijini uingereza watakuwa na kikao ilikujadili hatima ya epl …ligi kuu ya uingereza ilisimamishwa wiki jana baada ya homa hatari ya corona kupata kocha wa artsenali mikel arteta na hudson odoi wa chelsea. Ligi kuu ya uingereza itatakiwa kulipa takiriban paundi milioni 750 kwa rungina ambazo zinaonyesha mechi za uingereza iwapo msimu huu hutatamatika. …………………………………………………………… Aliyekuwa mchezaji wa Liverpool john barnes mewali wana mancheter kumpiga bei kiungo wao wa kwakti Paulo pogba iwapo hataki kusalia old trafford lakini sio kulazimishwa. Paulo pogba amekuwa akihushishwa na kujiunga na real madrid na Juventus, jeraha likimweka mkekani toka mwaka jana